![](https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhkI-vkNs3Aoi0ixyqwv_vaM_oMOEgLZCB8fltQ7KkCH9DOVXwqRyto36cQvE6-CPEMWV1OnIiaDpK6PYOTI-nVVzsBm8MhAnX5Qr7NBi46aHn94pN_re31o3tSQrUDzmF7sBBQtBkBOL1GnpPe7rm7Nv5qeYjrtZFZuWvgMx1lkX1MMvEleB8_2CYB=s16000)
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,
Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Shirika la Reli
Tanzania (TRC) na Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania
(TPA), wakati alipotembelea eneo itakapojengwa reli ya kuingia bandarini
jijini Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEibDgaJwKMxdEPg1cTLF8uZb3XxNVfBO3VRQTuTj-tdgWNgAkcdGVMyExVxfMGJ9clxMWJ09Zx15SlQxTimowtpviEZvdBUS3E4c6-fXgOLih0EKrw--3DJ3d56hBWC5aoaoUAODYqONVK6X0305FWKHTT7MtKMC0m2JBIaeWLe_MFqLXMwjFE1Kc60=s16000)
Naibu Mkurugenzi wa Miundombinu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Karim Mataka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, wakati alipotembelea eneo itakapojengwa reli ya kuingia bandarini jijini Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj5D4aVlcv_lpoDHQeaVkhFcuhUXi652O7n8HARjyhENg3o_jmk7N-aeYkdARZat7irnKfK0DbaIE6HtnuNvTWZ_ZZCCfxBClZojOJRgRqReZdNXnXCHVLp6HFeSd6Z-945cOY9mdMXZengrxwbJYc11haFjlyMKaaNn3L5gHEBxZThbVBrY0u8_9RT=s16000)
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ambapo amewataka kuja na mikakati kabambe itakayowezesha kampuni hiyo kupata faida na kuongeza safari katika nchi za Afrika.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj5xxEz15ga20g9izz7nCkJLSIcdmkkCmfZfZmk9RzGeYkKq1423mWgG0qOt8IyazSn9U0itdm9ZUPsJPHqFkbIyUxyMx4n689LaYE9I5j_rnmnhWXnORnXOjvveP8VFS3asvVbNYjQO4WWFSSV8Zlh2TEnmtRV_H3CHe6jtYKCAAJgbareMgWme_pQ=s16000)
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Prof. Neema Mori akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), alipozungumza na Bodi na Menejimenti ya ATCL jijini Dar es Salaam leo.(Picha na WUU).