Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid akipewa maelezo ya bidhaa za viatu vinavyotengezwa na kiwanda cha Zanzibar Quality Tailoring Limited kilichopo chini ya Idara Maalum za SMZ wakati alipotembelea maonesho ya siku mbili yaliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid akikagua bidhaa za viatu vinavyotengezwa na kiwanda cha Zanzibar Quality Tailoring Limited kilichopo chini ya Idara Maalum za SMZ wakati alipotembelea maonesho hayo ya siku mbili yaliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani jijini Zanzibar.