Ajira mpya 32,000... Ahadi hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma Aprili 6, 2022 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama ambapo amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri .