NA DIRAMAKINI
WAZIRI wa Madini, Dkt. Doto Biteko leo tarehe 4 Aprili, 2022 atafungua Mkutano wa 20 wa Kamati ya Ukaguzi wa Madini ya Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ambapo Tanzania ni mwenyeji wa Mkutano huo unaofanyika Mjini Bukoba Mkoani Kagera.
Mkutano huo unaanza tarehe 4 hadi 8 Aprili 2022.Taarifa zaidi itakujia baada ya mkutano huo.
#MazingirawezeshikwamaendeleoyaSektayaMadini