Nimempata mwanaume wa ndoto zangu-Patricia

NA MWANDISHI WETU

KATIKA maisha kila mmoja kuna jambo ambalo anakuwa anatamani siku moja lije kumtokea, nami ndivyo ilivyokuwa baada ya upweke kutawala kwa muda mrefu katika maisha yangu, kwani nilikata tamaa kutokana na kuumizwa sana katika mahusiano.
Jina langu ni Patricia, binti mrembo mwenye umri wa miaka 28, ninaishi Dodoma Tanzania, nina elimu ya Chuo Kikuu nikiwa nimebobea upande wa Rasilimali Watu (HR), nimeajiriwa toka mwaka 2016.

Tangu ninasoma shule ya msingi hadi sekondari sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote, kwani nilijituma katika masomo, mwanaume wangu wa kwanza nilikutana naye Chuo Kikuu, nilimpenda sana. 

Naye alionesha kunipenda na kunijali, lakini kweli ni kwamba alikuwa na mke ambaye alikuwa anaishi nje ya chuo.

Nilishtuka pale ambapo kila wikiendi ambapo nilitegemea mimi na yeye tutakuwa pamoja tukitoka na kwenda kufurahi, yeye aliniaga na kuniambia anaenda nyumbani kwao mara moja na atarejea Jumapili jioni. Hali ile nilikuwa siipendi kwani rafiki zangu wakati huo ndio walikuwa wanatoka na wapenzi wao.

Basi baada ya kama mwaka mmoja na nusu wa mahusiano yetu, siku moja nilishika simu yake yeye akiwa bafuni anaoga, nilishtuka nilipokuta kuna mwanamke anawasiliana naye. Huyo mwanamke alikuwa amemtumia picha za mtoto na kuandika maneno haya; ‘mwangalie mtoto wako anazidi kukua, sema tu tunakumisi mume wangu’.

Nilichukua namba ya yule mwanamke na kwenda kuwasiliano naye, kweli alinieleza yeye ameolewa na huyo mpenzi wangu, basi mpenzi wangu alipojua nimewasiliana na mke wake aliniambia tuachane.

Kipindi hicho niliishi nikiwa na msongo wa mawazo sana, niliingia mtandaoni kusoma namna ya kuondokana na msongo wa mawazo utokanao na mapenzi. Nilikutana na ushuhuda wa dada mmoja ambaye alielezea kuwa Dokta Kiwanga alimsaidia kumpata mpenzi wa ndoto zake, niliingia kwenye tovuti ya Dr. Kiwanga (www.kiwangadoctors.com) na kupata namba yake; +254 769404965.

Niliwasiliana naye na kumwambia namtaka mwanaume wa kwangu pekee yangu, kwani nataka nitakapomaliza chuo nisikae muda mrefu bila kuolewa. Dkt. Kiwanga aliniambia nisijali, kwani ameshawasaidia wanawake wengi kama mimi na kupata wanaume wa ndoto zao.

Haikuisha wiki moja, wanafunzi wa chuo kingine walikuja chuoni kwetu kwa ajili ya mdahalo, siku ya hafla hiyo ndipo nilikutana na mwanaume wa ndoto zangu. Anaitwa Romy, toka mkoani Arusha, siku hiyo baada ya mdahalo tulibadilishana namba za simu, usiku wake tuliweza kuongea kwa kiasi chake.

Katika mahusiano yetu, Romy alikuwa ananitoa out kila wikiendi na kunipa zawadi, yeye alimaliza chuo kabla yangu, kwa bahati nzuri alipata kazi hapa Dodoma. Mara kwa mara nikiwa na nafasi nilikuwa naenda kumtembelea nyumbani kwake na tunapanga mipango ya maisha yetu ya baadaye.

Nilipomaliza chuo mara moja alienda kujitambulisha nyumbani kwetu, kizuri zaidi aliniunganishia kazi ofisini kwao, hivyo tukaanza kwenda kazi pamoja. Haikuisha miezi sita akanitolea mahari, mimi na Romy tulifunga ndoa ya kifahari jijini Arusha, wafanyakazi wenzetu walikuja na kutuzawadia kiwanja na gari dogo aina ya IST.

Sasa ni takribani miaka saba ndani ya ndoa, tumejaliwa kupata watoto wawili wa kiume, kila siku Romy anazidi kunipenda, kizuri zaidi anawapenda sana wazazi wangu. Tumefanikiwa kufungua biashara ambayo ni mdogo wangu wa kike anaisimamia, shukrani kwa Dokta Kiwanga kwa kunipatia zawadi hii.

Kumbuka Dokta Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news