NA KADAMA MALUNDE
CHAMA cha Waandishi wa
Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania
(OJADACT) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Environmental
Reporting Collective la nchini Malaysia (ERC) kimeendesha mafunzo ya
siku moja ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative
Journalism) kwenye Sekta ya Uhifadhi wa Mazingira kwa waandishi wa habari Mkoa wa Mwanza.
Mafunzo
hayo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism)
kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira yamefanyika Aprili 2,2022 katika Ukumbi wa Nyakahoja jijini Mwanza na
kukutanisha pamoja waandishi wa habari 20 kutoka vyombo mbalimbali ya
Habari ambapo Mgeni rasmi alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana, Mhe.
Yonas Alfred kwa niaba ya Mkuu wa wilaya hiyo, Mhe. Hassan Masala.
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira.
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza leo Jumamosi Aprili 2,2022 katika Ukumbi wa Nyakahoja Jijini Mwanza. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko, kulia ni Katibu Msaidizi wa OJADACT Isack Wakuganda. (Picha na Kadama Malunde-Malunde 1 blog).
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.
Akifungua Mafunzo hayo, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,
Katibu Tawala wa Nyamagana, Bw. Yonas Alfred ameipongeza OJADACT kwa
kuandaa mafunzo kwa waandishi wa habari ili waweze kuwa wabobezi wa
kuandika habari za uharibifu wa mazingira na kwamba elimu watakayopata
waandishi hao itawasaidia na kuwawezesha kufanya kazi kwa weledi mkubwa.
“Suala
la uhifadhi wa mazingira kwa sasa ni Ajenda ya Kidunia. Bila Mazingira
viumbe akiwemo binadamu kesho yetu haiwezi kukamilika, hivyo kuandika
habari za uhifadhi wa mazingira ni jambo muhimu sana,”amesema.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Mratibu wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Lucyphine Kilanga akiwasilisha mada kuhusu masuala ya uhalifu wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Martine Nyoni akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Katibu Msaidizi wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Isaack Wakuganda akizungumza wakati wa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), Edwin Soko akiwasilisha mada kuhusu Uandishi wa Habari za Uchunguzi kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira kwa waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza.

Amefafanua
kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu
Hassan inatoa kipaumbele kwenye suala la mazingira ndiyo maana kuna Sera
ya Mazingira na Kanuni mbalimbali zinazosisitiza kutunza na kuhifadhi
mazingira.
“Kuna mfano wazi kuwa wilaya yetu ya Nyamagana na Mkoa
wa Mwanza una changamoto nyingi za kimazingira, kuna uvuvi haramu ndani
ya Ziwa Victoria, kuna ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya shughuli za
uchomaji wa mkaa. Naomba changamoto hizi zote baada ya kupata mafunzo
haya maalumu ya kuandika habari za uhifadhi wa mazingira basi nendeni
mkafichue uhalibifu huo wa mazingira kwa kutumia kalamu zenu,”ameeleza
Alfred.
Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira

Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akipiga picha ya kumbukumbu na Waandishi wa habari walioshiriki Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akipiga picha ya kumbukumbu na Waandishi wa habari walioshiriki Waandishi wa habari wakiwa kwenye Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa
Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania
(OJADACT), Edwin Soko amesema mafunzo hayo yamelenga kuwa mafunzo ya
Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye Sekta
ya Mazingira yamelenga kuwajengea uwezo waandishi wa Habari ili
kuhakikisha kuwa wanakuwa wabobezi katika uandishi wa habari za uhalifu
wa mazingira ili kuwa na uhifadhi wa Mazingira.
“Leo tumekutana
na waandishi wa habari 20 wa mkoa wa Mwanza lakini Aprili 9,2022
tutafanya mafunzo mengine kama haya yatakayoshirikisha waandishi wa
habari 20 kutoka mikoa mbalimbali,”amesema Soko.