Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Wakfu wa Marekani wa Maendeleo Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais na Mtendaji Mkuu wa Wakfu wa Marekani wa Maendeleo Afrika (US African Development Foundation-USADF), Travis Adkin alipokutana na Wafanyabiashara, Wawekezaji na Wadau Wakuu wa Sekta ya Habari Nijini New York Marekani katika leo. (Picha na Ikulu).