RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU ZA MAOMBI YA UONGOZI WA CCM NGAZI YA TAWI, APRILI 26 HADI MEI 2,2022

NA DIRAMAKINI

IFUATAYO ni Ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu za maombi ya uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya tawi.
i. Mwenyekiti wa CCM wa Tawi.

ii. Katibu wa CCM wa Tawi.

iii. Katibu wa Siasa na Uenezi.

iv. Wajumbe watano(5) wa Mkutano kuu wa CCM ya Kata/Wadi.

v. Wajumbe kumi(10) wa Halmashauri kuu ya CCM ya Tawi.

vi. Mjumbe mmoja(1) wa Mkutano kuu wa CCM wa Jimbo na Wilaya

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news