*Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.9 na kuuzwa kwa shilingi 20.05
NA GODFREY NNKO
LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 18.65 na kuuzwa kwa shilingi 18.83 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 156.67 na kuuzwa kwa shilingi 158.13.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 5, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2287.17 na kuuzwa kwa shilingi 2310.04 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2998.02 na kuuzwa kwa shilingi 3028.92.
Aidha,Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2516.6 na kuuzwa kwa shilingi 2542.7 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 359.5 na kuuzwa kwa shilingi 363.003.
Kwa mujibu wa BoT, shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.9 na kuuzwa kwa shilingi 20.05 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.
Pia shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Dirham (AED) ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inanunuliwa kwa shilingi 622.8 na kuuzwa kwa shilingi 628.8 huku sarafu ya Austria ya Schilling (ATS) inanunuliwa kwa shilingi 146.8 na kuuzwa kwa shilingi 148.1.
Kwa upande wa Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1718.81 na kuuzwa kwa shilingi 1736.46 huku Pula ya Botswana (BWP) inanunuliwa kwa shilingi 198.75 na kuuzwa kwa shilingi 201.09
Kwa mujibu wa Benki Kuu, dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1830.76 na kuuzwa kwa shilingi 1848.5 huku Franka ya Ubeligiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.06 na kuuzwa kwa shilingi 50.51.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Biashara na Masoko
BoT
Fedha na Uchumi
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania