Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi Dkt.Pindi Chana (Mb) akutana na ujumbe kutoka ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania kwa lengo la kujadili namna ya kushirikiana na wizara ili kuboresha Sekta ya Utalii nchini Tanzania katika kikao kilichofanyika leo Aprili 5,2022 jijini Dodoma.