
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji Eng. Maryprisca Mahundi, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).