NA MWANDISHI WETU
VISA vya wizi wa pikipiki na bidhaa zingine nyingi vimekuwa vikitokea katika eneo la Msambweni na Mombasa kwa jumla nchini Kenya, jambo ambalo limetupa sisi wenyeji wasiwasi kwa kiasi kikubwa kwa kuwa kila wakati tuko na hofu ya kuvamiwa na kuibiwa mali zetu.
Aidha, visa vingi uripotiwa katika vituo mbalimbali vya polisi, lakini hakuna lolote limefanyika hadi kufikia sasa, polisi kwenye vituo hivyo hutoa ahadi nyingi za kuweza kuwanasa washukiwa wa wizi na kuwafikisha kortini kuweza kushtakiwa, lakini ahadi hizo zimekuwa hazina matokeo yoyote badala yake huwa tunaambulia patupu nyakati zote.
Walalamikaji wengi wameachwa mikono mitupu, wengi wao wakikumbwa na wimbi la madeni, kutoka kwa baadhi ya taasisi za kifedha kama benki ambapo walichukua mkopo kuweza kununua bidhaa hizo kwa ajili ya kufanyia biashara.
Juzi,mmoja wa rafiki yangu alifumaniwa na genge la majambazi ambalo lilikuwa limejihami kwa bunduki na kupokonywa pikipkiki yake, aliweza kuripoti kisa hicho kwenye kituo cha polisi cha Msambweni, lakini hadi kufikia sasa, pikipiki hiyo haijaweza kupatikana wala kuonekana maeneo yoyote.
Vitendo hivi vya wizi, hutokea nyakati za jioni ambapo wezi hao huja kujifanya wateja na kuweza kuhitaji kusafirisha maeneo mbalimbali, wanapofika njiani hukuvamia na wenzake kutokea na kukupokonya pikipiki yako,
Jambo hili mara kwa mara, limekuwa likinipa hofu kwa muda mrefu sasa, kwani mimi ni muhudumu wa bodaboda katika eneo la Msambweni kwa miezi mitatu sasa.
Wahenga na wahenguzi hawakutupaka mafuta kwenye mgongo wa chupa ya mafuta waliponena kwamba, kichwa cha mwenzako kikinyolewa chako wapaswa kukitia maji, kwa tahadhari niliokuwa nimechukua, sikuwahi kujua siku moja pia mimi yangenipata,
Ilikuwa siku ya Jumamosi wiki iliyopita, niliamka mapema kwenda katika shughuli zangu za kila siku za kuwasafirisha wasafiri toka katika eneo moja hadi lingine, ilipofika nyakati za saa sita mchana, niliamua kwenda kupumzika kwenye stendi yetu, baada ya dakika thelathini hivi, mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu aliwasili na kuniarifu kuwa alitaka kusafirishwa, kijijini Mpeketoni alikiri kwamba ni kilomita chache kufika eneo lake, na pia nisiwe na tashwishi kwani alipokuwa akielekea kulikuwa na usalama wa kutosha.
Niliweza kukubali kumsafirsha, kwani ilikuwa kazi na kazi ni kazi bali hela muhimu, nilimuagiza akalie na tukafunganya safari kwenda katika eneo hilo, baada ya kilomita chache, mwanamke huyo alionekana, kuwa na mengi ya kunena, kwani alikuwa anapigiwa simu muda kwa muda.
Alichozungumza na aliyezungumza naye sikuweza kupata kumjua, kwani alizungumza kwa lugha niliyokuwa siifahamu, baada ya kilomita chache, mwanamke huyo alidai kuwa alikua anahisi kwenda haja ndogo na hivyo aliweza kusimamisha pikipiki na kumngoja amalize shughuli zake za kujisaidia.
Ghafla bin vuu, wanaume wawili walijitokeza wakiwa wamejihami, kwa vifaa butu na kuniagiza niweze kuwapa funguo za pikipiki hiyo kwa lazima, baadaye nilijikuta hospitalini, nikiwa na jeraha kichwani, sikuweza kujua kilichofanyika, kwani madaktari waliniharifu kuwa niliweza kuletwa hospitanini na msamaria mwema nikiwa nimeipoteza fahamu, nilipojihisi kupona hapo ndipo niligundua kuwa nilikuwa nimeibiwa pikipiki.
Nilimwarifu rafiki yangu kuhusu tukio hilo, hapo ndipo aliweza kuniarifu kuhusu Daktari Kiwanga na uwezo wake wa kuweza kupata bidhaa zilizopotea, niliweza kuomba nafasi ya mazungumzo, na siku iliyofuatia nilikutana naye ana kwa ana na kuweza kumuambia kila kitu kilicho tokea, aliniarifu ningeweza kuipata baada ya siku moja tu.
Siku moja baadaye wezi wawili walianza kula nyasi wakiwa wameegesha pikipiki kando ya barabara, nilipoenda eneo hilo nilipata pikipiki yangu ikiwa shwari,wezi hao walikamatwa baadaye na kupelekwa kituo cha polisi, shukrani kwa Daktari Kiwanga kwa kunisaidai kuipata pikipiki yangu iliyokuwa imeibwa.
Daktari Kiwanga utibu magonjwa kama, Kifua Kikuu, Saratani ya Mapafu, Ugonjwa wa Kisukari na mengine mengi. Pia ana uwezo wa kukinga boma na mali yako, kutatua migogoro ya mapenzi, na kuongeza urefu wa mrija pande za wanaume. Mtembelee leo upate suluhu kwa matatizo yanayokutatiza.
Tembelea wavuti https://www.kiwangadoctors.com/ Waweza kumpigia simu kwa nambai +254 769404965 na Ujumbe wa kielectroniki kupitia kiwangadoctors@gmail.com.