
Mheshimiwa Shamsi Vuai Nahodha akila kiapo kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bungeni Dodoma leo Aprili 5,2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akiwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gumbo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi na Mnadhimu Mkuu wa Serikali, George Simbachawene.

Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika akinukuu jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma jijini Dodoma leo.

Wageni mbalimbali wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma leo.