NA DIRAMAKINI
BALOZI wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen, tarehe 5 Mei 2022.
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen.
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen.
Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy.
Rais wa Jamhuri ya Austria, Mhe. Alexander Van der Bellen akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Austria, Mhe. Celestine Joseph Mushy mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho za Balozi Mushy.
Januari 2022, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alimteua Balozi Mushy kuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria.