


Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mary Maganga akipanda mti wa mparachichi katika eneo la mifumo ya kuchakata majitaka inayoendeshwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) baada ya kuikagua jijini Dodoma ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani. Watatu kulia ni Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph.(Picha na Mpigapicha Wetu).