WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum unaofanyika leo Mei 24, 2022 (Jumanne) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili Asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.
Mada; Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS)
Unaweza kujiunga na mkutano kwa kubofya https://bit.ly/3yEF2P3
Au kupitia
Meeting ID: 847 1620 6798
Passcode: 916286

Karibu tujadili Matarajio ya wadau Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS).
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.