Profesa Edward Hoseah awatakia Watanzania wote Eid Mubarak
NA DIRAMAKINI
RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) ambaye anatetea kiti chake, Profesa Edward Hoseah leo Mei 3, 2022 ameungana na wadau mbalimbali kuwatakia Watanzania wote Eid Mubarak.