Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitoa msaada wa vyakula ikiwemo mchele, mafuta ya kupikia, sukari, mbuzi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa vikundi mbalimbali vya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dodoma, katika Iftari Ikulu Chamwino. (Picha na Ikulu).