Salaam za heri ya Sikukuu ya Eid El Fitr 2022 kutoka taasisi, wizara, mashirika na wadau mbalimbali
DIRAMAKINI inawatakia Watanzania wote Eid Mubarak, tusherehekee kwa amani, utulivu huku tukiyakumbuka na kuyaenzi mafunzo mema ya Mtume (SAW) na yote tuliyojifunza wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyenzi Mungu awatunze daima, Inshaallah.