Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 10,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.45 na kuuzwa kwa shilingi 17.62 huku Dola ya Canada (CAD) ikinunuliwa kwa shilingi 1770.4 na kuuzwa kwa shilingi 1787.5.
Franka ya Ubeligiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.07 na kuuzwa kwa shilingi 50.52 huku Shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 10,2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Aidha, shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.7 na kuuzwa kwa shilingi 19.9 huku Euro ya Ulaya (EUR) ikinunuliwa kwa shilingi 2405.4 na kuuzwa kwa shilingi 2429.7.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2287.8 na kuuzwa kwa shilingi 2310.7 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 141.55 na kuuzwa kwa shilingi 142.22.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news