![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/06/0A6A9204-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/06/0A6A9317-1024x676.jpg)
Timu hiyo inatarajiwa kwenda kushiriki kombe la dunia chini ya miaka 17 kwa upande wa wanawake Nchini India Mwaka huu, Octoba 2022.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (koti la Bluu katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Serengeti Girl’s pamoja na Waheshimiwa Wabunge nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, leo Juni 7, 2022, Kulia kwake ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (kushoto kwake) na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul (Wapili kushoto).(PICHA NA OFISI YA BUNGE).
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/06/0A6A9388-1024x628.jpg)