NA DIRAMAKINI
BAHARIA Bw.Nassor El Mahruki anayezunguka Dunia kwa mashindano ya boti za upepo (Clipper Race) amewasili Panama akitokea Seattle Washington kuelekea Visiwa wa Bermuda pamoja na New York City.
El Mahruki ni mfanyabiashara anayetokea Zanzibar Tanzania, ambaye pia ni Mtanzania wa kwanza kuzunguka Dunia nzima kwa mashindano hayo ya (Clipper Race).