Je, ni vibaya kumuoa mpenzi wa Binamu yako?

NA MWANDISHI WETU

JINA langu ni Juma toka Mombasa nchini Kenya, baada ya wazazi wangu kufariki nilienda kuishi kwa shangazi yangu, ukweli ni kuwa ile familia ilinichukulia kama mtoto wao, kuanzia mjomba, shangazi hadi watoto wao.

Nilipelekwa shule za bweni, nakumbuka kipindi narudi nyumbani binamu yangu mmoja ambaye nilikuwa umri sawa na yeye siku zote aliniambia kuhusu namna anampenda msichana wake anayeitwa Husna ambaye wanasoma naye.

Pale nyumbani tulikuwa watoto watatu, mimi, yeye na kaka yetu ambaye kidogo alituzidi miaka, kwa hiyo tulikuwa tunamtania sana kuhusu huyo msichana wake ambaye kuna muda alisema atakuja kumuoa.

Naweza kusema kwa bahati mbaya sana mimi sikuwahi kumuona kwa sababu muda mwingi nilikuwa shule na kipindi cha likizo huwa naenda kutembea kwa ndugu wengine pia, sikuwa na makazi maalum ukizingatia wazazi wangu wametangulia mbele ya haki, hivyo sasa ni yatima.

Basi maisha yakaenda hivyo, tukakuwa wakubwa na mimi pale kwa shangazi nikatoka nikaanza kujitegemea, awa binamu zangu pia na maisha yakaendelea, kiufupi kila mtu akawa na maisha yake.

Ulifikia wakati nataka kuoa, lakini sikuweza kupata mwanamke sahihi, katika kutafuta mtandaoni nilikutana na tovuti ya Dr. Kiwanga ambayo ni www.kiwangadoctors.com na kusoma kuwa anaweza kunisaidia kumpata mke sahihi kwangu.
Nilichukua namba yake ambayo ni +254769404965 na kuwasiliana naye, aliniahakikishia kuwa nitapa mke wala nisiwe na wasiwasi.

Sasa katika harakati za kutafuta na mimi nilikutana na binti mmoja anaitwa Husna, tulipendana sana kufanya mambo mengi sana, kumbe huyu Husna wangu ndio yule ambaye alikuwa wa binamu yangu, kusema ukweli nilikuwa silijui hili.

Kutokana na majukumu, mawasiliano na yule binamu yangu yalipungua sababu kila mtu ana maisha yake, siku moja huyu mdogo mwenzangu alipost picha yetu ya kitambo katika status huko WhatsApp.

Husna aliiona, alishtuka, ilibidi amuulize yule binamu yangu kama tunafahamiana. Binamu akamwambia yote jinsi ilivyo na Husna nae akafunguka.

Kumbe siku zote walikuwa wanawasiliana ile kishkaji, kumbe binamu yangu alikuwa bado anampenda huyu binti, tatizo likaanzia hapo.

Sijui ni wivu au ni nini, yule binamu yangu akaanza kunishtumu kuwa nilikuwa natembea nae toka kipindi hicho wapo pamoja. Ila sio ukweli, nimejitahidi kuwaelewesha sana hili ila hawanielewi.

Mimi na Husna kwa sasa tumeshaoana na tunaishi maisha mazuri ila tatizo sasa hivi ni kama nimesuswa na ile familia, ni kitu ambacho kinaniumiza sana nikikumbuka waliponitoa. Je, nifanyaje?.

Kumbuka Dr. Kiwanga anatibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo, pia anasuluhisha shida za kifamilia kama kutokouwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha hasa katika michezo ya kamari na mengineyo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dr. Kiwanga kwa namba +254769404965, barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti yake ambayo ni www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news