Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Oman (Diaspora) katika eneo la Al Bustan Muscat nchini humo leo Juni 13, 2022.
Watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Mkutano uliofanyika eneo la Al Bustan Muscat nchini humo leo Juni 13, 2022.(Picha na Ikulu).