RC Mongella aongoza zoezi la Uwekaji Alama za Mipaka Pori Tengefu la Loliondo
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mheshimiwa John Mongella akishiriki zoezi la uwekaji wa alama za mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo eneo la Ndorobo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha.