Sheria ya 'Local Content' yawezesha Watanzania kuneemeka kupitia migodi nchini
"Baada ya kuanzishwa Sheria ya Local Content, sasa Watanzania wanapata
fursa ya kutoa huduma mbalimbali kwenye migodi nchini," Kaimu Afisa
Madini Mkazi wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Laurent Bujashi