"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alielekeza. Kwa mara ya kwanza tumekuja na 'Simiyu Model, No Cash,No Cotton' na bei imevunja rekodi ya nusu karne,kilo kwa sasa ni shilingi 2000.Ukisema sababu ni bei soko la Dunia,elewa leo 2022 ni dola 1.3 kwa kilo,lakini mwaka 2011 soko la Dunia ilifika dola 2.3 kwa kilo na bei ya juu mkulima haikuvuka shilingi 1200 kwa kilo,"amesema Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa David Kafulila.