NA GODFREY NNKO
LEO Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 29.4 na kuuzwa kwa shilingi 29.6 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.54 na kuuzwa kwa shilingi 19.71 na Euro ya Ulaya (EUR) ikinunuliwa kwa shilingi 2394.9 na kuuzwa kwa shilingi 2419.9.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 15, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 623.7 na kuuzwa kwa shilingi 629.8 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 146.9 na kuuzwa kwa shilingi 148.3.
Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.57 na kuuzwa kwa shilingi 11.18.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.04 na kuuzwa kwa shilingi 228.24 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.34 na kuuzwa kwa shilingi 144.62.
Aidha, dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2290.7 na kuuzwa kwa shilingi 2313.6 huku Lira ya Italia (ITL) inanunuliwa kwa shilingi 1.045 na kuuzwa kwa shilingi 1.054.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Uchumi na Biashara