NA GODFREY NNKO
LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 29.3 na kuuzwa kwa shilingi 29.6 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.54 na kuuzwa kwa shilingi 19.70.
Aidha,Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2403.8 na kuuzwa kwa shilingi 2428.1 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2809.8 na kuuzwa kwa shilingi 2838.8.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 20, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 623.8 na kuuzwa kwa shilingi 629.9 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.02 na kuuzwa kwa shilingi 148.32.
Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.44 na kuuzwa kwa shilingi 11.02.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.41 na kuuzwa kwa shilingi 227.9 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.9 na kuuzwa kwa shilingi 145.33.
Aidha, dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2291.11 na kuuzwa kwa shilingi 2314.02 huku Lira ya Italia (ITL) inanunuliwa kwa shilingi 1.04 na kuuzwa kwa shilingi 1.05.
Kwa upane wa Franka ya Ubelgiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.14 na kuuzwa kwa shilingi 50.59 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 17.02 na kuuzwa kwa shilingi 17.19.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
BoT
Elimu ya Fedha
Fedha na Uchumi
Fedha za Kigeni
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Viwango