Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 7,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Lira ya Italia (ITL) inanunuliwa kwa shilingi 1.044 na kuuzwa kwa shilingi 1.053 huku Rupia ya India (INR) ikinunuliwa kwa shilingi 29.50 na kuuzwa kwa shilingi 29.79.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 7, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.9 na kuuzwa kwa shilingi 11.5.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.6 na kuuzwa kwa shilingi 19.8 huku Euro ya Ulaya (EUR) ikinunuliwa kwa shilingi 2456.1 na kuuzwa kwa shilingi 2481.1.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Ubelgiji (BEF) ikinunuliwa kwa shilingi 50.12 na kuuzwa kwa shilingi 50.57.

Aidha,Won ya Korea Kusini (KRW) inanunuliwa kwa shilingi 1.83 na kuuzwa kwa shilingi 1.85 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7482.6 na kuuzwa kwa shilingi 7555.01.
Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 344.85 na kuuzwa kwa shilingi 348.25 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 17.53 na kuuzwa kwa shilingi 17.70.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 623.5 na kuuzwa kwa shilingi 629.6 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 146.9 na kuuzwa kwa shilingi 148.2.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news