Waziri Balozi Dkt.Pindi Chana:Wizara inapitia Sheria ya NCA ili kuona namna ya kulinda maslahi ya wananchi na huduma za uhifadhi kwa pamoja
Wizara inapitia sheria ya NCA ili kuona namna ya kulinda maslahi ya wananchi na huduma za uhifadhi kwa pamoja, kama Taifa tunahitaji kulinda watu na rasilimali zetu kwa pamoja na utaratibu huu ni mzuri kwa maslahi ya kila upande;