Waziri Omar awasilisha msimamo wa Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula kutoka Nje ya nchi kinachonunuliwa na WFP


Mhe. Omar Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar na Kiongozi wa Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), unaoendelea mjini Geneva tangu tarehe 12-15 Juni 2022, amewasilisha msimamo wa Serikali ya Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula Kutoka Nje ya Nchi kinachonunuliwa na WFP kwa sababu za kibinadamu. 

Awali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilichelea kuunga mkono pendekezo hilo mpaka ilipojihakikishia kuwa uamuzi huo hautazuia nchi kuchukua hatua ya kuzuia ikiwa kuna tishio la usalama wa chakula.




Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news