NA DIRAMAKINI
BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dar es Salaam.
Swala ya Eid itaswaliwa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni ikifuatiwa na baraza la Eid.