HomeHabari IGP Sirro afanya mabadiliko ya makamanda wa mikoa NA DIRAMAKINIMKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa polisi.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi hilo, David Misime; Tags Habari Jeshi la Polisi Tanzania Facebook Twitter