Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo Julai 7, 2022. (Picha zote na Ikulu). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Axel van Trotsenburg mara baada ya mazungumzo yao Dakar nchini Senegal.