NA DIRAMAKINI
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.
Zifuatazo ni shule 10 bora;
10. Ziba, Tabora - Shule ya Serikali
9. Mkindi, Tanga - Shule ya Serikali
8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
7. Nyaishozi Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi
6. Dareda Sekondari Manyara - Shule ya Serikali
5. Ahmes Sekondari Pwani - Shule ya Binafsi
4. Tabora Girls Tabora - Shule ya Serikali
3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
2. Kisimiri Sekondari Arusha - Shule ya Serikali.
1. Kemebos Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
ACSEE 2022 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
CLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET |
Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana.Matokeo yote soma hapa>>>