BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeziagiza timu zinazotumia viwanja vya kadhaa vikiwemo Mkwakwani mjini Tanga, Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na Ilulu mkoani Lindi zivifanyie ukarabati.
Muonekano wa uwanja wa Ushirika uliopo Moshi mkoani Kilimanjaro.