NA GODFREY NNKO
LEO Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 342.42 na kuuzwa kwa shilingi 345.43 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.82 na kuuzwa kwa shilingi 16.99.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 11, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2292.95 na kuuzwa kwa shilingi 2315.88 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2749.25 na kuuzwa kwa shilingi 2777.67.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 135.61 na kuuzwa kwa shilingi 136.92 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.43 na kuuzwa kwa shilingi 19.59.
Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.61.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Elimu ya Fedha
Fedha na Uchumi
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Kimataifa