NA GODFREY NNKO
LEO Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.28 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61.
Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2305.33 na kuuzwa kwa shilingi 2329.31 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2292.95 na kuuzwa kwa shilingi 2315.88.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 14, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Aidha,Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2733.43 na kuuzwa kwa shilingi 2760.99 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.36 na kuuzwa kwa shilingi 11.00.
Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.29 na kuuzwa kwa shilingi 630.48.
Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 340.88 na kuuzwa kwa shilingi 344.27 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.89.
Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 135.46 na kuuzwa kwa shilingi 136.78 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.41 na kuuzwa kwa shilingi 19.58.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha na Uchumi
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania
Uchumi na Biashara