NA GODFREY NNKO
LEO Yuan ya China (CNY) inanunuliwa kwa shilingi 339.12 na kuuzwa kwa shilingi 342.74 huku Yen ya Japan (JPY) ikinunuliwa kwa shilingi 16.79 na kuuzwa kwa shilingi 16.95.
Franka ya Burundi (BIF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) ikinunuliwa kwa shilingi 624.30 na kuuzwa kwa shilingi 630.49.
Hayo ni kwa mujibu wa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 25, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.27 huku shilingi ya Uganda (UGX) ikinunuliwa kwa shilingi 0.57 na kuuzwa kwa shilingi 0.60.
Randi ya Afrika Kusini (ZAR) inanunuliwa kwa shilingi 136.13 na kuuzwa kwa shilingi 137.25 huku shilingi ya Kenya (KES) ikinunuliwa kwa shilingi 19.34 na kuuzwa kwa shilingi 19.50.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2744.86 na kuuzwa kwa shilingi 2772.86 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.54 na kuuzwa kwa shilingi 10.12.
Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2335.65 na kuuzwa kwa shilingi 2359.93 huku Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.96 na kuuzwa kwa shilingi 2315.93.
Tags
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Elimu ya Fedha
Fedha za Kigeni
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania