HomeHabari Wakili msomi Sikalengo ajitosa kuwania Ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Momba Mkoa wa Songwe, Wakili msomi Frank C.Sikalengo amejitosa kuwania nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kupitia chama hicho. Tags Habari Picha Uchaguzi CCM Facebook Twitter