Meza kuu wakifuatilia uwasilishwaji wa hoja wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya akiongoza kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Katibu Mkuu TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe akieleza jambo wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu na Kamati Tendaji cha kujadili uboreshaji wa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi wanaohamia kwa hiari katika kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni Tanga wakitokea katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.Kikao kilifanyika tarehe 7 Julai, 2022.