Wataalam wa BoT waendelea kutoa elimu kwa wananchi Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Sabasaba

Meneja Msaidizi Masomo ya Muda Mfupi, Chuo cha BoT, Bi. Tulla Mwigune, akitoa elimu kuhusu historia ya sarafu zinazochapichwa na BoT kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Beroya walipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. 
Mkaguzi wa Mabenki Mwandamizi, Bw. Gideon Rwegoshora, akifafanua jambo kuhusu BoT inavyosimamia wa sekta ya fedha nchini kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. 
Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki, Bi. Crispina Nkya akitoa elimu kuhusu namna noti zilichokaa kutokana na utunzaji mbaya zinavyoharibiwa kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi wa Mifumo ya Malipo BoT, Bw. Revocatus Kishimba akitoa elimu kuhusu namna BoT inasimamia Mifumo ya Malipo ya Taifa kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. 
Afisa Uhusiano wa Umma na Itifaki BoT, Bw. Daniel Mlimuka, akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. 
Mchumi Mwandamizi BoT, Bi. Anjelina Mhoja, akitoa elimu kuhusu uchumi wa Tanzania kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. 
Afisa Sheria kutoka BoT, Bw. Ramadhani Myonga, akifafanua jambo kuhusu Dawati la Utatuzi wa Matatizo ya Wateja wa Huduma za Kibenki kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benki Kuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news