WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI TENDAJI MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Batholomeo Jungu akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akiongoza kikao cha Pili cha Kamati Tendaji Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, kikao kilifanyika Julai 22, 2022 katika Ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Kaspar Mmuya akizungumza jambo wakati wa kikao cha Pili cha Kamati Tendaji Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Ramadhani Kailima (wa kwanza kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Stella Joseph wakifuatilia kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wakifuatilia kikao hicho.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Kitaifa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Batholomeo Jungu akifafanua jambo wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakikagua ratiba ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa kikao cha maandalizi.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Kamati Tendaji ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wakifuatilia kikao hicho.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news