HomeAZAM FC Azam FC yamtakia kila la heri Mudhathir Yahya aendako NA DIRAMAKINIKLABU ya Azam FC imehibitisha kuachana na kiungo wake wa muda mrefu, Mudathir Yahya Abbas, baada ya mkataba wake kumalizika tangu Juni 30, mwaka huu.“Tunamtakia kila la heri katika kazi yake ya mpira na tunamkaribisha klabuni kwetu wakati wowote,” imesema taarifa ya Azam FC. Tags AZAM FC Habari Michezo Facebook Twitter