HomeHabari Hizi hapa ofisi 17 za Wakili Mkuu wa Serikali nchini Ili kufikia azma ya kupanua wigo wa utendaji wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na kuongeza ukaribu katika kuhudumia wananchi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ina Ofisi 17 ambazo zimefunguliwa kwenye mikoa yote yenye masjala za Mahakama Kuu ikiwemo Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na kwenye mikoa ya Dodoma; Mtwara; Iringa; Ruvuma; Tanga; Kilimanjaro; Arusha; Kigoma; Mara; Mwanza; Kagera; Shinyanga; Tabora; Rukwa; Mbeya; na Morogoro. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Facebook Twitter