Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi (katikati) akikagua gwaride la heshima kabla ya kuhutubia taifa katika eneo la kihistoria la Ngome Nyekundu (Red Fort) jijini New Delhi wakati wa sherehe za kuadhimisha Siku ya Uhuru wa nchi hiyo Agosti 15, 2022. Jamhuri ya India imeadhimisha miaka 75 ya Uhuru baada ya kujipatia Uhuru wake Agosti 15, 1947 kutoka kwa utawala wa Uingereza.(Picha na AFP).