WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Agosti 10, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana
Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Agosti 10, 2022 - Jumatano) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3blWTkR
Au kupitia
Meeting ID: 865 3457 1971
Passcode: 651869
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.