Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Dkt.Grace Magembe akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi wakati akihesabiwa nyumbani kwake maeneo ya Area D, Site three Jijini Dodoma leo Agosti 23,2022.