Naibu Spika Mussa Azzan Zungu ahesabiwa nyumbani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo Agosti 23, 2022 akiwa katika picha ya pamoja na makarani wa sensa mara baada ya kuhesabiwa wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi lililofanyika nyumbani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam.